
Mwishoni mwa wiki iliyopita Aprili 18, 2015 ndugu yangu, rafiki yangu Sillah Mbuya aliweza kuonyesha ujasiri wake wa harakati za kukikimbia chama cha makapera baada ya kumvalisha pete ya uchumba mwanadada Ancilla Mrema sherehe zilizofanyika nyumbani kwao wanadada Ancilla ndani ya jijini Mbeya. Pichani tukio linaloendelea ni uvalishwaji wa pete...




Wananzengo nao hawakuwa nyuma kumpongeza kijana wao baada ya kuonyesha ujasiri wa kupigana kutoka katika chama cha makapera.

Furaha baada ya zoezi kumalizika salama.

Familia zikiwapongeza baada ya kufanya kweli.
No comments:
Post a Comment