
Maharusi katikati wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya na wageni waliohudhuria kwenye harusi hiyo.

Masanja na Bi harusi.

Furaha ikipamba moto


Selfie ikichukua nafasi

Wakuvanga na Bi. harus

Masanja Mkandamizaji na Bwana harusi ambaye ni Muandaaji wa vipindi vya kundi la wachekeshaji la Ze Orijino Komedi 'OK', Sekione David 'Seki'.

Wachekeshaji wa kundi la Ze Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya 'Masanja Mkandamizaji' na Mc Legan wakicheza na Bi harusi.

Masanja na wageni waalikwa

Joti wa Ze Orijino Komedi akiwa katika pozi na Bi harusi.


Bw. harusi Seki (katikati) na wageni waalikwa
No comments:
Post a Comment