Social Icons

Pages

Monday, October 5, 2015

KIMLOLA A. KIMLOLA "NELLY AFUNGA NDOA NA SCHOLASTICA L. LAZARO





Bwana Harusi na Bibi Harusi wakiingia ukumbini

Yaani ni Furaha kwa kwenda mbele





Ukafika muda wa kucheza nyimbo za dini baada ya kuwapokea bibi harusi na bwana harusi mara baada y kuingia ukumbini

Nyimbo za kiasili nazo ziliusika
Bwana na Bibi Kimlola wakiwasalimia ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye ukumbi huo wakati wa sherehe yao
Bwana na Bibi Kimlola wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kamati ya maandalizi ya Harusi hiyo
Mwenyekiti wa Kamati akizungumza jambo

 
Shampeni zikifunguliwa



Bwana na Bibi Kimlola wakinyweshana Shampeni
Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya Bwana na Bibi Kimlola
Bwana na Bibi Kimlola wakikata keki
Ndugu na jamaa wakifuatilia matukio yanayoendelea
Bwana na Bibi Kimlola wakilishana keki

Wazazi wa Bwana harusi Kimlola A. Kimlola "Nelly” wakiwa wamesimama tayari kwa kupokea keki
Bibi harusi Scholastica L. Lazaro akikabidhi keki kwa wazazi wa Bwana harusi
Bibi harusi Scholastica L. Lazaro aakipeana mikono na wazazi wa Bwana harusi baada ya kukabidhi keki
Bwana harusi Kimlola A. Kimlola "Nelly”  akipeleka keki kwa wazazi wa Bibi harusi
Bwana harusi Kimlola A. Kimlola "Nelly” akikabidhi keki kwa familia ya bibi harusi
Bwana na Bibi Kimlola wakikabidhi keki kwa wanakamati
Bwana na Bibi Kimlola  wakifungua mziki
Bwana na Bibi Kimlola wakicheza kwaito pamoja na ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye harusi hiyo





Muziki ukiendelea
Ndugu, jamaa na marafiki wakiingia ukumbini

Baada ya kuingia wakazungusha duara na kuanza kuzirudi

No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates