Social Icons

Pages

Featured Posts

Tuesday, November 14, 2017

MDAU MUGANYIZI BISHEKO ACHUKUA JIKO

Mkuu wa Masoko wa Bank of Africa - Tanzania Bw. Muganyizi Bisheko akiwa na furaha baada ya kufunga ndoa takatifu na Bi. Brenda Ngowo ambae ni mfanyakazi wa CRDB Bank. Ndoa hiyo ilifungwa mnamo wa tarehe 04/11/2017 katika Kanisa la Bungo KKKT, Morogoro.
Mkuu wa Masoko wa Bank of Africa - Tanzania Bw. Muganyizi Bisheko akiwa na furaha baada ya kufunga ndoa takatifu na Bi. Brenda Ngowo ambae ni mfanyakazi wa CRDB Bank. Ndoa hiyo ilifungwa mnamo wa tarehe 04/11/2017 katika Kanisa la Bungo KKKT, Morogoro.
Mkuu wa Masoko wa Bank of Africa - Tanzania Bw. Muganyizi Bisheko akiwa na furaha baada ya kufunga ndoa takatifu na Bi. Brenda Ngowo ambae ni mfanyakazi wa CRDB Bank. Ndoa hiyo ilifungwa mnamo wa tarehe 04/11/2017 katika Kanisa la Bungo KKKT, Morogoro.

Monday, August 7, 2017

BWANA NELSON PALLANGYO NA BI. THERESIA BYAKWAGA WAFUNGA NDOA MJINI KARATU

 Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini, Jimbo La Karatu, Usharika wa Karatu Mjini akiwafungisha ndoa Bw. Nelson Charles Pallangyo na Bi. Theresia Justine Byakwaga iliyofanyika Agosti 5, 2017 na baadae sherehe ikafanyika ukumbi wa Samawe Complex. PICHA ZOTE NA KAJUNASON/MMG - KARATU.
Bwana Harusi Nelson Charles Pallangyo  akimvalisha pete mkewe Bi. Theresia Justine Byakwaga wakati wakifunga ndoa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini, Jimbo La Karatu, Usharika wa Karatu Mjini akiwafungisha nd Agosti 5, 2017. 

Monday, May 22, 2017

ZUBERI SENZOTA NA BI. KHADIJA KHAMIS WAMEREMETA

 Bw. Harusi,Zuberi Senzota Msemo Na Bi.harusi Khadija Khamis Lyoba  wakiyarudi magoma wakati walipokuwa wakiingia ukumbini katika tafrija maalum ya kuwapongeza kwa kuungana kwao, iliyofanyika katika ukumbi wa Tausi uliopo Kiluvya mkoani Pwani.
 Bw. Harusi,Zuberi Senzota Msemo na Bi.harusi Khadija Khamis Lyoba Wakiwa katika pozi
  Bw. Harusi,Zuberi Senzota Msemo Na Bi.harusi Khadija Khamis Lyoba  wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Maharisi wakitoka  ukumbini.
















Sunday, March 26, 2017

MWANAHABARI GEORGE BINAGI NA MISS PENDO KISAKA KUUAGA UKAPELA

Mwanahabari wa 102.5 Lake Fm Mwanza na mwanablogu wa mtandao wa Binagi Media Group, George Binagi (kulia) pamoja na Miss Pendo Kisaka (kushoto), wanatarajiwa kufunga pingu za maisha masaa machache yajao.

Wapendanao hao wanafunga ndoa hii leo March 26,2017 majira ya saa nane mchana katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza chini ya Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo, Dkt.Daniel Moses Kulola, na baadae kufuatiwa na hafla itakayofanyika Ukumbi wa Sun City Hotel uliopo Ghana Green View Jijini Mwanza kuanzia majira ya saa moja jioni.

Zifuatazo ni picha za hafla ya kumuaga bibi harusi mtarajiwa (Sendoff) iliyofanyika ijumaa iliyopita March 17,2017 Jijini Dar es salaam.
Sifa na Utukufu ni kwa Mwenyezi Mungu, Amina!

Thursday, March 2, 2017

Odillon Rweyendera na Glory Lwomile wafunga ndoa

 Odillon Rweyendera akimvalisha pete  Glory Lwomile wakati wa ibada ya ndoa iliyofanyika katika kanisa la Mt Mathias Mulumba Kalemba jimbo kuu la Songea mjini Songea na kufuatiwa na sherehe ya kuwapongeza katika ukumbi wa Familia Takatifu Bombambili.
 Glory Lwomile akimvisha pete ya ndoa mume wake Odillon Rweyendera wakati wa misa iliyofanyika katika kanisa la Mt Mathias Mulumba Kalembo jimbo kuu la Songea mjini Songea.

Sunday, January 15, 2017

JOSEPH MWANUKUZI NA MARIAM WAMEREMETA LEO

 Joseph Mwanukuzi akiwa amepozi na mke wake Mariam wakati wa Ibada ya Ndoa yao iliyofanyika katika Kanisa la St. Peter Oysterbay jijini Dar es Salaam leo.
Joe na mke wake wakielekea kula kiapo cha ndoa.
Joseph akimvisha pete ya ndoa mke wake Mariam.
Mariam akimvisha pete ya ndoa mume wake Joseph.
Jose akimkumbatia mke wake baada ya kuvalishana pete za ndoa.
Josephna Mariam wakioneesha pete zao za ndoa.
Mmeona....
Bwana na Bi. harusi wakiwa katika pozi.
Mapozi.....

Wakiwa na kila aina ya furaha.
Bwana harusi akihakikisha Bi. harusi anakuwa katika hali ya kupendeza muda wote.
Akiweka sawa vazi la Bi. harusi.
Bwana harusi akiweka saini cheti cha ndoa.
Bi, harusi akiweka saini cheti cha ndoa.
Maharusi wakionesha shahada zao za ndoa.
Joseph na Mariam wakitoka kwa furaha baada ya kufunga ndoa takatifu katika kanisa la St. Peter Oysterbay jijini Dar es Salaam leo.
Ndugu na jamaa wakiwapongeza.
Picha ya pamoja.


Picha ya pamoja.
Bi. harusi akiwa amepozi kwa picha.
Mapozi.
Wakiwa katika pozi.
Ni furaha tupu.
Busu takatifu....
Maharusi wakitoka kanisani.
Click here to Reply, Reply to all, or Forward
 
 
Blogger Templates