Social Icons

Pages

Saturday, February 14, 2015

NDOA YA RASHID SEMNDAIA NA UPENDO LINDA MCHATTA

Ndoa ya Rashid Semndaia na Upendo Linda Machatta iliyofanyika siku ya Ijumaa February 13, 2015 Baltimore, Maryland na sherehe kufanyika Columbia, Maryland. Maneno ya khanga yakimkuna mpiga picha.
Rashid na Upendo wakichumu kwa mara ya kwanza kama mke na mume.
Rashid na Upendo wakiwa kwenye ndoa yao.
Shekh Faizur Khan akifungisha ndoa ya Rashid na Upendo siku ya Ijumaa Februari 13, 2015 Baltimore, Maryland nchini Marekani.

Upendo akitia saini cheti cha ndoa.
Rashid akitia saini cheti cha ndoa.
Rashid na Upendo wakichum.
Rashid akisema mumemwona mke wangu ni vigeregere kwa kwenda mbele.
Kati ni Mama mzazi wa bi harusi.
Bi harusi akipiga picha na kaka zake Sipho (kushoto) na Dennis Mdoe aliyewahi kuichezea timu ya Yanga miaka ya nyuma.

No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates