Social Icons

Pages

Monday, February 16, 2015

MDAU MANENO ABDALLAH ALIVYONG'ARA NA MKEWE BI NUSRAT TAHWA HAPO JANA

Bwana Harusi Maneno Abdallah na Mkewe Bi Nusrat Tahwa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunga ndoa hapo jana
 Bwana harusi akielekea kuchukua jiko lake Kimara huku akisindikizwa na wapambe na Mshenga wake
 Dua ikiendelea nyumbani kwa Mwanamke Kimara kabla ya ndoa kufungwa na Maneno kuondoka na Jiko lake

 Nderemo na vifijo 
Mtu akilia mara baada ya dada yake kuchukuliwa 
 Kaswida maridhawa akipigwa na watoto wa madrasa
 Akifungishwa Ndoa hapo jana
 Baba wa bi harusi akitoa nasaha kwa watoto wake
Akimfunua Mkewe mara baada ya kukabidhiwa rasmi hapo jana
Mdau Maneno akiondoka na jiko lake kuelekea kwake Segerea mara baada ya kufunga ndo hapo jana.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates