Hayawi hayawi yamekuwa Adam Steven Mabiki na Dominica
Thadei Kissela wakiwa katika pozi la piwa mara baada ya kufunga ndoa
yao katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam,
Juni,18 ,2016 na kufauatiwa na shereha ya kukata na shoka iliyoifanyika
kwenye ukumbi wa Alli Hassan Mwinyi uliopo Chuku Kikuu Huria jijini Dar
es Salaam.

Bwanaharusi na bibi harusi Adam Steven Mabiki na
Dominica Thadei Kissela, wakiwa na wasimamizi wao Dk.Evodius Zege na
Sophia Nchini kwenye picha ya pamoja mara baada ya kufunga ndoa yao
katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam, Juni,18
,2016 na kufauatiwa na shereha ya kukata na shoka iliyoifanyika kwenye
ukumbi wa Alli Hassan Mwinyi uliopo Chuku Kikuu Huria jijini Dar es
Salaam.
Hayawi hayawi yamekuwa Adam Steven Mabiki na Dominica
Thadei Kissela wakiwa katika pozi la piwa mara baada ya kufunga ndoa
yao katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam,
Juni,18 ,2016 na kufauatiwa na shereha ya kukata na shoka iliyoifanyika
kwenye ukumbi wa Alli Hassan Mwinyi uliopo Chuku Kikuu Huria jijini Dar
es Salaam.
Wapambe wa bwanaharusi Adam Steven ambao ni wanakwaya
wa Moyo mtakatifu wa Yesu wakiwa wamembeba bibi harusi Dominica wakati
walipokuwa wapiga picha Cocobeach.
Mr,& mrs Adam Steven Mabiki wakiwa kwenye picha
ya pamoja katika ufukwe wa bahari ya hindi Cocobeach jijini Dar es
Salaam.
Wapembe wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi Adam na Dominica.
Sebene linapokolea ukumbini
No comments:
Post a Comment