Social Icons

Pages

Monday, April 27, 2015

HONGERA SILLAH MBUYA KWA KUMVALISHA PETE YA UCHUMBA ANCILLA MREMA

 Mwishoni mwa wiki iliyopita Aprili 18, 2015 ndugu yangu, rafiki yangu Sillah Mbuya aliweza kuonyesha ujasiri wake wa harakati za kukikimbia chama cha makapera baada ya kumvalisha pete ya uchumba mwanadada Ancilla Mrema sherehe zilizofanyika nyumbani kwao wanadada Ancilla ndani ya jijini Mbeya. Pichani tukio linaloendelea ni uvalishwaji wa pete...

Mwanadada Ancilla akionyesha furaha yake baada ya kuvalishwa pete na mumewe mtarajiwa Sillah.
Mpiganaji, Blogger ukipenda kuite mtalaam wa mambo ya mitandao kutoka Tone Media, Fredy Njeje akimpongeza bwana harusi mtarajiwa Sillah Mbuya.
 Wananzengo nao hawakuwa nyuma kumpongeza kijana wao baada ya kuonyesha ujasiri wa kupigana kutoka katika chama cha makapera.
 Furaha baada ya zoezi kumalizika salama.
Familia zikiwapongeza baada ya kufanya kweli.

No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates