Social Icons

Pages

Friday, July 31, 2015

USIKU WA HERIETH PALLANGYO ULIVYOFANA

 Biharusi mtarajiwa Herieth Charles Pallangyo akiwa kwenye pozi muda mfupi kabla ya kuanza tafrija yake maalum ya kugana na familia yake kbla ya kufunga ndoa. Tafrija ya kumpongeza na kumuaga iliyofanyika ukumbi wa Giraffe Sunset, Mbezi Beach Dar es Salaam. 
 Herieth akiwa katika pozi la picha na mama yake
 Wazaa chema Bwana na Bibi Charles Pallangyo wakiwa katika pozi.
 Wageni waalikwa wakiwa ukumbini hapo.
 Kamati ya Maandalizi ya tafrija hiyo ikiwa katika picha ya pamoja na Biharusi.
 Herieth alisimamiwa na kaka yake kipenzi Deo Charles Pallangyo katika tafrija hiyo.
 Herieth akifungua Champagne
 Mkuu wa Mkoa wa Geita, Bi Fatma Mwasa alikuwepo kumpongeza Herieth.
 Ilikuwa ni furaha mtindo mmoja
Wazazi wakimkabidhi mtoto wao zawadi ambayo mbali na kadi iliyo na ujumbe lakini ndani yake kuliwa na kadi ya gari aina ya Toyota IST na ufunguo wake.
 Herieth akikata keki
 Herieth akikata ndafu huku akiangaliwa na wazazi
 Mike Kitomari na mkewe Hellen wakifuatilia tafrija hiyo.
 Bi harusi mtarajiwa akimuonesha mume mtarajiwa Presscodd zawadi yake
 Maharusi watarajiwa ambao Jumamosi Agosti 1 mwaka huu pale Mbezi Beach wanafunga ndoa yao.
 Bi harusi akiwa na marafiki zake
Herieth akila pozi mbele ya zawadi yake ya gari aliyokabidhiwa na wazazi wake.

No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates