Social Icons

Pages

Sunday, October 11, 2015

SEKI WA ZE ORIJINO KOMEDI APATA 'JIKO'

 Maharusi katikati wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya na wageni waliohudhuria kwenye harusi hiyo.
 Masanja na Bi harusi.

 Furaha ikipamba moto
 
 Selfie ikichukua nafasi
 Wakuvanga na Bi. harus
 Masanja Mkandamizaji na Bwana harusi ambaye ni Muandaaji wa vipindi vya kundi la wachekeshaji la Ze Orijino Komedi 'OK', Sekione David 'Seki'.
 Wachekeshaji wa kundi la Ze Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya 'Masanja Mkandamizaji' na Mc Legan wakicheza na Bi harusi.
 Masanja na wageni waalikwa
 Joti wa Ze Orijino Komedi akiwa katika pozi na Bi harusi.
Masanja na wageni waalikwa wengine kwenye harusi hiyo
 Bw. harusi Seki (katikati) na wageni waalikwa

No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates