Social Icons

Pages

Monday, October 19, 2015

MDAU WETU SILLAS MBUYA AFUNGA NDOA NA ANCILLA

 Bwana na Bibi harusi wakiingia kanisani kwa ajili ya kufungishwa ndoa katika kanisa la KKKT Sinza jana Jumapili.
 
  Mchingaji akitoa neno kwa wanandoa hao waliofunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Sinza jijini Dar jana Jumapili
 Bwana Harisi Sillah Mbuya akimvalisha pete ya ndoa mke wake Ancilla katika kanisa la KKKT Sinza
 Bibi harusi akimvalisha pete mme wake Sillah Mbuya uku mchunhaji akishuhudia tukio hili la kihistoria
 Mchungaji akitoa baraka kwa wanandoa hao

Bwana na Bibi harusi wakikumbatiana kwa furaha hakika yaliyoandikwa yametimia
 Bwana Harusi Sillah Mbuya akisaini cheti cha ndoa
 Bibi harusi Ancilla akisaini cheti cha ndoa
 Mchungaji akisaini cheti cha wanandoa Sillah na Ancilla

 Bwana na Bibi harusi wakiwa kwenye picha ya pamoja na Wazazi wao pamoja na mchungaji aliyefungisha ndoa hiyo

 Sillah akicheza kwa furaha mara maada ya kutoka kanisani









 Bibi Harusi na bwana Harusi pamoja na wapambe wao wakiwa wamenyoosha grass zao juu kwa 
 Hakika ilikuwa ni furaha
 
 
Wageni waalikwa wakiendelea kugongesha grass zao kwa bibi na bwana harusi
 Fredy Njeje(kushoto) akiwa kwene picha ya pamoja na Bibi harusi 
  

 
 Bwana na Bibi harusi wakiendelea kuserebuka wakati wa harusi yao iliyofanyika katika ukumbi wa Kiramuu Mbezi Beach jana jumapili.
 Bwana na Bibi wakionesha pete zao za ndoa
 Bwana na Bibi haruzi wakikata nyama ya Mbuzi iliyoandaliwa kwa ajili yao
 Bwana Harusi akimlisha kipande cha nyama mke wake Ancilla
 Bibi harusi akimlisha kipande cha Nyama Mme wake Sillah Mbuya
 Bibi Harusi Ancilla Mrema akimlisha kipande cha nyama mama mzazi wa bwana harusi hii ni kuonesha upendo kwa familia zote
 Bwana Harusi SIllah Mbuya akimlisha kipande cha nyama mama mzazi wa Bibi harusi
 Wadau katika ubora wao
 Bibi na Bwana Harusi wakionesha tabasamu la nguvu
 Wageni wakifuatilia kinachoendelea ukumbini hapo
 Evelyn Munisi(Kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na mdogo wake wakati wa harusi ya Sillah Mbuya
 
 Bwana Harusi Sillah Mbuya akisakata rhumba na ndugu pamoja na jamaa waliofika katika harusi yake iliyofanyika katika Ukumbi wa Kiramuu.
 Ni mwendo kuserebuka kwa kwenda mbele
 Mama mzazi wa Bwana Harusi akitoa neno wakati wa kukabidhi zawadi
 Mama na Baba wa Sillah Mbuya wakikabidhi zawadi ya biblia kwa watoto wao waliofunga ndoa 
 Ndugu na jamaa kutoka upande wa bwana harusi wakitoa mkona wa baraka kwa Bwana na Bibi harusi
 Mama mzazi wa Bibi Harusi akitoa zawadi ya Biblia kwa Bwana na Bibi harusi
 Ilikuwa ni siku ya furaha kwa kila mtu
 Familia ya Mwl. Stanley Mbuya wakiwa wakipokea zawadi kutoka kwa ndugu jaamaa na marafiki

Baadhi ya wanakati wakitoa pongezi kwa bibi harusi na Bwana haru mara baada ya kutoa zawadi zao
Katibu wa kamati ya Maandalizai ya Harusi akitoa neno la shukranni kwa wageni waalikwa waliofika katika harusi ya Sillah na Ancilla  iliyofanyika katika ukumbi wa Kiramuu Mbezi Beach

No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates