Bwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Bwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Baba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akiwapongeza maharusi kwa hatua yao ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha maharusi. Wazazi wa Bwana harusi Louis Munishi wakipongezwa ukumbini na jamaa na marafiki. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe hiyo, Bw. Oscar Munishi akijumuika kutoa huduma kwa wageni waalikwa ukumbini, kuhakikisha mambo yanakwenda sawa. Ibada takatifu ya ndoa ya Louis Munishi na mkewe Bi. Inviolata ilifanyika katika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Sehemu ya meza ya wazazi wa Bibi harusi Inviolata wakimchumu mtoto wao ukumbini. Baadhi ya wanakamati ya sherehe hiyo wakipata kumbukizi ukumbini Mwakilishi wa Kamati ndogo ya maandalizi ya harusi kutoka Moshi, Kilimanjaro ikizungumza kutoa shukrani kwa Kamati Kubwa ya Maandalizi (hawapo pichani) ya jijini Dar es Salaam. Wanajumuiya kutoka Goba wakiwapongeza maharusi ukumbini Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe hiyo, Bw. Oscar Munishi (kulia) pamoja na mkewe wakielekea kutoa zawadi maalumu kwa maharusi. Maharusi Louis Munishi na mkewe Bi. Inviolata (katikati) wakiwa pamoja na wapambe wao ukumbini. Ndugu, jamaa na wageni wa maharusi wajumuika katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa 'Mwenge Social Hall'. Bwana harusi Louis Munishi (kulia) 'akimng'ata' sikio mpambe wake ukumbini. Burudani ya muziki ikitamalaki kwa wageni waalikwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment