Social Icons

Pages

Monday, January 9, 2017

Picha: Masele Chapombe Afunga Ndoa

Masele na mkewe, muda mfupi baada ya kufunga ndoa.
Msanii wa vichekesho aliyejipatia umaarufu mkubwa kupitia Kundi la Vituko Shoo, Chrispine Lyogello ‘Masele Chapombe’ leo ameaga ukapela baada ya kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Specioza Malick iliyofungwa katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Consolata lililopo Mbezi Makabe jijini Dar es Salaam.

Kabla ya ndoa hiyo iliyofungwa leo mchana, Desemba 23, 2016 Masele na Specioza walifanay send-off Moshi, Kilimanjaro, nyumbani kwa mwanamke.
Masele na mkewe, wakiwa katika pozi


















No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates