Bw.harusi David Kanumba akiwa na mkewe Nadege na wakwe zake mara baada ya kufunga ndoa siku ya Jumamosi Machi 28,2015, katika kanisa la Faith Ministry International Atlanta Georgia.
Bw.harusi na Bi harusi wakiwa Bw.Togo na mkewe na mwisho kulia ni mchungaji Mwinamila.
Bw.harusi na bi.harusi wakiwa na Best man Oscar na Matron Renee .
Wapambe wa Bw.harusi David Kanumba.
Cake ya harusi.
Mzee Kanumba amesafiri kutoka Tanzania akitoa wasia wake.
Maharusi wakicheza katika mavazi maalum ya kitamaduni.
Bi.harusi akienda mpaka chini katika kufungua dansi.
Mc wa shughuli Sunday Shomari akiwa na Dj Bacheer.
Bi. Linda na Ashura.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment