Social Icons

Pages

Monday, April 6, 2015

EMMANUEL NA HAPPY WAMEREMETA

Bwana na Bi. harusi wakiingia kwenye ukumbi wa Best Western Lanham, Maryland siku ya Jumamosi April 4, 2015 kusherehekea harusi yao iliyohudhuria na ndugu,jamaa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali ikiwemo Tanzania.
Bwana na Bi. harusi wakiingia ukumbini huku wakipigiwa vigeregere.
Ndug, jamaa na marafiki wakiwashangilia huku wengine wakipata ukodak moment baada ya maharusi kufika meza kuu.
Maharusi wakiwa meza kuu.

Maharusi na wapambe wao.
Maharusi wakichukua chakula.
Maharusi wakila chakula.
Bi. harusi akimlisha keki bwana harusi.
Bwana harusi akimlisha keki bi. harusi.

Husia wa maharusi  kutoka kaka wa bi. harusi kwa niaba ya wazazi.
husia wa maharusi toka kwa mama mzazi wa bwana harusi.

wakati wa kugonganisha glasi.
densi ya kwanza ya maharusi.

Bi. harusi akitoa burudani kwa kuimba wimbo wa injili akiwa na wanandugu huku bwana harusi akisikiliza.



Chanzo: Vijimambo Blog

No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates